Huduma Zetu

Tunachofanya

Tunatoa huduma mbalimbali za kitaalamu ili kumwezesha mkulima kupata mavuno bora na kilimo chenye tija

Huduma za Ushauri

Huhakikisha usalama wa bidhaa, ufanisi, hufuata kanuni, na hupunguza athari za mazingira
Soma zaidi

Kemikali za kilimo

Dawa za kuua wadudu, magugu, na fungicides salama na bora kwa aina zote za mazao
Soma zaidi
Mbeya Agrochemicals Company Limited ni kampuni binafsi iliyosajiliwa nchini Tanzania ikiwa na ofisi yake kuu jijini Arusha, Tanzania. Sisi hujikita zaidi katika pembejeo za kilimo na huduma za ushauri.

© 2026 Mbeya Agrochemicals Ltd. Haki zote zimehifadhiwa.

Mtandao na Pamtech
arrow-right-circle