Kutoa elimu kwa wakulima ni kipaumbele chetu cha kwanza; hapa wakulima wanaelimishwa kuhusu viua wadudu vyetu, namna ya kuvitumia, na wakati sahihi wa kupulizia.
Ni kileo cha magugu (selective herbicide) kinachotumika kwenye zao la mahindi (kabla na baada ya magugu kuota). Kwa matokeo bora, inaweza kutumika siku 3 baada ya kupanda mbegu; unyevu wa kutosha kwen
Kutoa elimu kwa wakulima ni kipaumbele chetu cha kwanza; hapa wakulima wanaelimishwa kuhusu viua wadudu vyetu, namna ya kuvitumia, na wakati sahihi wa kupulizia.
Beche Plus 300WP ni kileo cha kuchagua (selective herbicide) kinachotumika kwenye zao la mpunga, chenye uwezo wa kuua magugu yote (majani mapana na manyasi) na kuzuia magugu mapya kuota.
Mbeya Agrochemicals Company Limited ni kampuni binafsi iliyosajiliwa nchini Tanzania ikiwa na ofisi yake kuu jijini Arusha, Tanzania. Sisi hujikita zaidi katika pembejeo za kilimo na huduma za ushauri.