Huduma Zetu

Tunachofanya

Tunatoa huduma mbalimbali za kitaalamu ili kumwezesha mkulima kupata mavuno bora na kilimo chenye tija

Huduma za Ushauri

Inahakikisha usalama wa bidhaa, utendaji kazi, uzingatiaji wa kanuni, na kupunguza athari kwa mazingira.
Soma zaidi

Agrochemicals

Dawa salama na bora za kuzuia wadudu (pesticides), magugu (herbicides), na fangasi (fungicides) kwa ajili ya aina zote za mazao.
Soma zaidi
Mbeya Agrochemicals Company Limited ni kampuni binafsi iliyosajiliwa nchini Tanzania ikiwa na ofisi yake kuu jijini Arusha, Tanzania. Sisi hujikita zaidi katika pembejeo za kilimo na huduma za ushauri.

© 2026 Mbeya Agrochemicals Ltd. All rights reserved.

Web by Pamtech
arrow-right-circle